Kuunga Mkono Juhudi za Mh. Rais Kutangaza Royal Tour katika kuhamasisha akina mama wa vikundi wakenge utamaduni wa kutembelea vivutio vya nchi yetu.