Tulianzia kutengeneza vikundi kwenye machimbo wanakogonga mawe mpaka hatua ya kusajili vikundi kupata vyeti mpaka kufungua Akounti CRDB Bank na hatimaye kupata mikopo ya bila riba Serikalini.